Monday, June 13, 2011

SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA

Spika wa kwanza wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwanamke ANA MAKINDA Akiingia Bungeni kwaajili ya kufungua bunge la 10 kikao cha 4, Kikakao ambacho kimetoa sura halisi ya Mtanzania katika Kipindi cha mwaka wa Fedha 2011/2012.Huku bajeti iliyosomwa na waziri wa Fedha na Uchumi June 8 mwaka huu bajeti ambayo imetoa vipaumbele vya Serikali kwa mwaka huu kuwa ni 1.Umeme 2.Maji 3.Miundombinu ya usafiri na usafirishaji-Reli, Barabara,Bandari,Viwanja vya ndege na mkongo wa Taifa 4.Kilimo na Umwagiliaji 5.Kupanua ajira kwa sekta binafsi na Umma

2 comments:

  1. Jamani bajeti si tatizo tatizo ni ufuatiliaji na utekelezaji hivi kweli viongozi tulionao naomngelea wabunge na madiwani ni wafuatiliaji kweli wa miradi inayoanzishwa kwenye maeneo yao na fedha inayotolewa na serikali kila mwaka.

    ReplyDelete
  2. Sasa inakuwa na utekelezaji uliosahihi na si maelezo tuu jamani hatutarajii Kupelekwa pelekwa kama Bajaji. Vilio vya Watanzania vip[ewe kipaumbeleeeeeeee

    ReplyDelete